Date Range
Date Range
Date Range
Saturday, August 15, 2015. RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA KONGAMANO LA PILI LA DIASPORA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC. MC wa hafla hiyo ambaye ni Mratibu wa Dawati la Diaspora katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bi Suzana Mzee akiwa kazini.